23
Aug

Je, muumini anaweza kutenda dhambi?

Ndio. (i) Barua za Paulo zimeandikwa kwa makanisa yaliyo na wakristo wa kweli ilhali barua hizo zimejaa shinikizo na onyo kwa wakristo hao dhidi ya dhambi. (ii) Katika Warumi 7 Paulo anakiri vita vyake binafsi dhidi ya dhambi. Sisi sote kama wakristo vile vile tunazipitia changamoto zile anazozizungmzia pale. (iii) Vile vile barua ya kwanza ya Yohana (mistari ya 8 na 10) inasema kuwa tutakuwa waongo tukisema kwamba hatuna dhambi. Sehemu hii imeandikiwa wakristo, ambao ndio wanaotembea katika nuru ya Mungu na kukiri dhambi zao.

Yes.
Most of Paul’s letters are written to churches where he warns and rebukes them against various sins though he acknowledges them as saints. Specifically, he talks of his own struggle in Romans 7. Our own experiences mirror it. 1 John 1:8-10 tells us that it is untruthful to claim we have no sin.

You are donating to : Greennature Foundation

How much would you like to donate?
$10 $20 $30
Would you like to make regular donations? I would like to make donation(s)
How many times would you like this to recur? (including this payment) *
Name *
Last Name *
Email *
Phone
Address
Additional Note
paypalstripe
Loading...